RATIBA ZA IBADA

Jumatatu: Ibada ya Maombi kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa  mbili usiku

Jumanne: Ibada za cell za majumbani saa kumi na mbili jioni hadi saa moja usiku

Jumatano: Kipindi cha Vijana kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa mbili usiku

Alhamisi: Ibada ya Bible Study kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili usiku.

Alhamisi: Kipindi cha vijana wa kiume kuanzia saa mbili usiku hadi saa tatu usiku.

Ijumaa: Ibada ya wafanyakazi mjini kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni hadi saa moja na nusu usiku. Inafanyika Jengo la Haidery Plaza,ghorofa ya pili, ukumbi wa Alcove (hakuna kiingilio).

Ijumaa: Ibada ya wanaume kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili usiku.

Ijumaa: Mkesha wa vijana wote kuanzia saa nne usiku hadi saa tisa usiku.

Jumamosi: Kipindi cha Wanawake kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni.

Jumapili: Ibada ya Kiingereza kuanziasaa moja asubuhi hadi saa tatu asubuhi

Jumapili: Ibada Kiswahili kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa sita na nusu mchana.

-Kila siku asubuhi kuanzia Jumatatu  hadi Ijumaa kuna ibada ya asubuhi (Morning Glory) inayofanyika saa kumi na mbili asubuhi kanisani.

-Ushauri na Maombezi ya mtu mmoja mmoja ni kuanzia saa tatu asubuhi Jumanne hadi Alhamisi.