Life Transformation Course

Life Transformation Course ni kozi inayolenga kubadili maisha na mtazamo wa mtu yeyote kupitia neno la Mungu . Lengo la kozi hii ni kumfanya mtu awe kama Kristo alivyomkusudia awe, kozi hii hufanyika mara 2 kwa mwaka katika kanisa la Living Water Center makuti-kawe,kozi hii hufanyika January-march na July-september kila mwaka.

Masomo yanayofundishwa ni kama ifuatavyo:

1)WOKOVU-nini maana ya wokovu? 2)KUUKULIA WOKOVU – kukua kiroho baada ya kuokoka,

3);THAMANI YA NENO- jinsi neno linavyoweza kukuzaa mara ya pili,  4):UREJESHO WA USHIRIKA KATI YA MWAMINI NA MUNGU(restoration) ie ni lini ushirika ulivunjika?  5);UADILIFU(integrity) – uadilifu wa Mungu,

6);HULKA ZETU – temperaments,aina za hulka na tabia zake

7)MAISHA YA MSAMAHA – ili usamehe unahitaji mambo gani?

8),DHAMIRI ISIYO NA HATIA – ni kwa namna gani hii ni silaha ktk maisha ya mwamini?

9);UTAWALA WA ROHO MTAKATIFU – kwa mtu aliye okoka unakuwaje?  10);KUJENGA MADHABAHU – jinsi ya kujenga madhabahu

11) MAISHA YA MAOMBI – maana ya maombi

 12);KUMJUA MUNGU NA UWEZA WA NGUVU ZAKE – Mungu ni nani,ana sura gani,anakaa wapi

13);MWAMINI NA KINYWA – matumizi ya kinywa kwa mtu aliyeokoka

14);MAISHA YA IMANI – imani ni nn?

15); NAFASI YA MTUMISHI WA MUNGU KTK MAISHA YA MWAMINI – unawezaje kumstahi mtumishi wa Mungu  16);IBADA HALISI – nn maana ya ibada 17);UBATIZO WA TOBA -ubatizo ni nn? 18); UJENZI WA MISINGI MIPYA zab 11:3

Masomo hayo yote yana assignments,test na mitihani ambapo wanafunzi wote hupimwa uelewa wao. Darasa litakaloanza july 2016 litakuwa darasa la 13 toka chuo kianze,tunawakaribisha sana watu wa dini zote kuja kuijua kweli ya Mungu,watu wengi wamepona magonjwa,wengi wamefunguliwa utasa wao kupitia darasa hili,na Mungu awabariki sana