l9
l1
RESTORATION

Acts 3:19

l2
TRANSFORMATION

Roman 12:2

l3
HIGHER LEVELS

Revelation 5:5

l4
BREAKTHROUGH

John 3:1-4

l5
Manifestation of His Glory

Roman 8:19-21

Karibu katika Tovuti ya Living Water Centre – Makuti Kawe

apostle_mom1_

Hii ni huduma ya Kikristo inayoongozwa na Mtumishi wa Mungu, Mtume Onesmo Ndegi, pamoja na Pastor Lilian Ndegi wakishirikiana na Watenda Kazi wengine kikiwemo kikundi kazi cha Bwana cha Kusifu na kumwabudu Mungu, kiitwacho Living Waters.

Katika Tovuti hii tutakuletea Habari, Masomo, Matukio na Ratiba zetu mbalimbali zinazoendelea katika Huduma hii ya Living Water Centre – Makuti Kawe.

Waweza kuabudu pamoja nasi Living Water Centre – Makuti Kawe au katika Makanisa yetu yaliopo katika Mikoa Mbali Mbali Tanzania, na mengine mengi jijini Dar es Salaam na hakika utamjua Bwana zaidi na kiwango chako cha ushirika na Yeye kitakuwa juu zaidi.

Karibu na Mungu akubariki sana

IMG-20170117-WA0021

BOOKS

b3 b2